Katazo: Tuzuie Wanafunzi wenye Sifa Duni Kujiunga na Kozi za Uuguzi

Katazo: Tuzuie Wanafunzi wenye Sifa Duni Kujiunga na Kozi za Uuguzi

Mkuu mimi binafsi ni Muuguz yaan RN ,katika taalum hii ina madaraja tofaut tofaut na mipaka ya kaz zao mfano kuna 1/Health attendants H/A hawa ni wenye certificates mwaka mmoja chuo na vyuo vingine miez kadhaa na kwa hosp au dispensary nying mtaan ndio inawaajiri hao kwa kua mshahara wanao lipwa ni mdogo sana na kulingana na level yao hawana uwezo wa kutambua diagnosis ya mgonjwa au hata dawa kwa undan ndio huwanyenyekea sana Doctors na kuonekana km wasaidiz wa madactar na km ulikutana na muuguz huyu ni rahis sana kujaj negative weng hufanya kaz kwa emotion sana kwa kuwa wamekosa Training ya mda mrefu but kuna wengine wanapenda kaz yao ni waelewa kulingana na experiences.
2/ Registered Nurses RN ni mwenye diploma ya 3years mpaka 4yrs anaweza kumwelewa mgonjwa na akachanganua Nursing diagnoses na wameapa kiapo cha kaz na lessen ya kufanya kaz wanayo hapa ndio Nurses wanao tegemewa zaid hospitalin maada hufanya round ya pamoja na Doctors na kutoa plan zao kuhusu mgonjwa na dactar kaz yake ataandika tu hizo plan na order lakin mwenye kumuhudumia mgonjwa ni huyu nurse huduma yake ikiwa mbovu mgonjwa itakuwaa ngum kupata improvement lakin nowadays imetokea Nurses wengi hawana moyo wa kufanya Nursing yenyewe wapo kimasilah zaid na hiyo nafkir ni kwa kada nying hivyo mtoe mada kada ya uuguz sio km unavyofikiria.
3/BSNs ni muuguz mwenye degree na hawa kaz zao hazina tofaut sana wenye RN japo wengi wanaweza kua kwenye administration na mambo ya uongoz.
5/na kuna level ya EN enrolled nurses wa certificate ya 2yrs na pia wapo weng kwenye hosp za kawaida na kubwa pia na weng wanaajiriwa kwakuwa mshara wanao lipwa ni ndogo.
Mwisho professional ya uuguz ili haribiwa toka zaman kwa kuwa walio kua wakiisomea wengi ni wanawake na ikachukuliwa km ni wasaidiz wa madactar na wauguz wakakosa kujiamin wakabak kwny majuku yao tu ya Nursing,,,ukiumwa na kulazwa mtu utakae kua nae karibu ni muuguz na akikuhudumia vizur utaona umuhim wake kwa kuwa huduma zote zile anakuhudumia km hujiwez Dactar unakutana nae asubuh kwa mara moja na kukupa maendeleo yako lkn kiukweli hawez kukwambia chochote km Nurse hajarecord na kumwelezea hivyo nashaur kuwaangalia kwa jicho tofaut wauguz.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Muamko wa kazi na kujituma ni muhimu sana. Chuoni tunafundishwa mengi ila hatuyakumbuki yote tunapofika kazini. Muamko wako, kuipenda fani yako na jamii unayoihudumia ndivo vinavyokusukuma uendelee kusoma na kuiboresha elimu yako, pia kutoa huduma kwa ueledi na maadili. Ufaulu wa shule unakufikisha chuo ila haukufanyi kuwa mtoaji huduma bora hapo mbele, mengine unajiongeza.
 
Baadhi ya watu wanapata matokeo mazuri ila wanavamia fani kwa maslahi tu.
 
Mimi im just concerned,elimu ya Tanzania haiwafanyi watu wakawa independent thinkers badala yake watoto wanakremu,yule mwenye ufaulu mkubwa sio kwamba ameelewa sana bali ana uwezo mkubwa wa kukremu..this is dangerous kwa fani kama ya uuguzi, hata fani nyingine ni hivyo hivyo ndio maana wahitimu wetu hawafurukuti Zaidi ya wahitimu wa nchi nyingine...this has to change.
 
Back
Top Bottom