Katekista afanya viroja kanisani

Shetani tuu..Nilikua nishapata kitamboo sana hafu huyu paroko ndio zake kupiga makofi..ashawahi kumpiga makofi bibi mmoja alipokea mkate then akaend
hahahahahaaahah, Ilikuwa siku ya kwanza unapata komunio ndio ulikosea ukasau ni baada ya kupata hiyo sakramenti ya komunio? hahahaah sipati picha wale walinzia pembeni ya padre
alu hahahahaha
Akaenda kukaa nao alidundwa..
Mm nilichukuliwa na Katekista akanielekeza kurudi nikakosea hahaa nikala vyanguu
 
Paroko alikuwa mzungu? hahahahahahahahahaha au ni babu babu? tehe tehe tehe
 
Paroko maduhu Wa kahama jimboni au
 
Hahahah hiyo tabelinakuru yako sijui kisukuma.itabidi nianze kukupata darasa la kilatini.
GLORIA Patri, et Filio, et Spiritui Sancto. Sicut erat in principio, et nunc, et semper , et in saecula saeculorum
 
hahahahaha kwa kweli hata mie nilijicheka wakati naandika maana nilijua kabisa sijaipatia! hahahahahahahah
kilatini hiikkiiiii!!!!
 
Hahahaha
 
Kama utakua unafuatilia mabo ya kwaya utakua unawajua watu hawa..Jerome Kagoma na Frolian E Nyanza wapo hukohuko mwanza.
hahahahahah, hahahahaahahahahhahahaha.
They are my Teacher..
 
Kama utakua unafuatilia mabo ya kwaya utakua unawajua watu hawa..Jerome Kagoma na Frolian E Nyanza wapo hukohuko mwanza.
They are my Teacher..
Hapana mie sio mwanakwaya, napenda kuimba lakini siwezi kupata muda wa kuhudhuria mazoezi na shughuli zingine za kwaya.
 
Yesu alisujudu. Sasa unashangaa Katekista kusujudu?
 
Ama kweli fitina kwako mwiko.

Wape mkuu wakae kweny misingi stahiki na sio kuingiza maigizo kweny sehemu sizo..
 
Kwani kuwa katekista ni kazi ya kusema kwamba kuanzia siku ile yeye angekua Paroko angesema Katekista HANA KAZI, ...umisionari nayo ni kazi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…