- Thread starter
- #21
Kama padre atafikisha mrejesho kwa bosi wake lazima ataonywa au kusimamishwa.Duh poleni sana. Itabidi apewe onyo kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama padre atafikisha mrejesho kwa bosi wake lazima ataonywa au kusimamishwa.Duh poleni sana. Itabidi apewe onyo kali
kweli kabisa.Sema kila kitu kwa kiasi..pombe kwa kiasi, chakula kwa kiasi, maji soda juisi vyote kwa kiasi
Akaenda kukaa nao alidundwa..hahahahahaaahah, Ilikuwa siku ya kwanza unapata komunio ndio ulikosea ukasau ni baada ya kupata hiyo sakramenti ya komunio? hahahaah sipati picha wale walinzia pembeni ya padre
alu hahahahaha
Paroko alikuwa mzungu? hahahahahahahahahaha au ni babu babu? tehe tehe teheShetani tuu..Nilikua nishapata kitamboo sana hafu huyu paroko ndio zake kupiga makofi..ashawahi kumpiga makofi bibi mmoja alipokea mkate then akaend
Akaenda kukaa nao alidundwa..
Mm nilichukuliwa na Katekista akanielekeza kurudi nikakosea hahaa nikala vyanguu
Paroko maduhu Wa kahama jimboni auHahaaa huyu sasa kazidi..Kwa akili ya kawaida I hope huko alipo anajutia alichofanya..Ingekua watoto wa mamdogo ingefaa achunjwe au apondwe mawe Mimi mwenyewe nilikoseaga kuitikia pale wanapisena Mwili wa yesu instead of Amin nikasema Tunauabudu..Nilikula kibao na sikupata kukomunika.
Paroko maduhu Mungu anakuona
Hahahah hiyo tabelinakuru yako sijui kisukuma.itabidi nianze kukupata darasa la kilatini.Sijajua maana padre alichukia sana, kama wewe ni katoliki utapata picha halisi alivyotoa show ya ajabu, mpaka ule wakati wa kurudisha ekaristi "tabelinakuru" (mmmh! kilatini hiki), waumini wanapiga magoti kwa heshima, yeye hapo ndio akawa sasa kama ameaambiwa azishe "show" hahahaha ama kweli pombe sio chai.
Paroko alikuwa mzungu? hahahahahahahahahaha au ni babu babu? tehe tehe tehe
Paroko maduhu Wa kahama jimboni au
hahahahaha kwa kweli hata mie nilijicheka wakati naandika maana nilijua kabisa sijaipatia! hahahahahahahahHahahah hiyo tabelinakuru yako sijui kisukuma.itabidi nianze kukupata darasa la kilatini.
GLORIA Patri, et Filio, et Spiritui Sancto. Sicut erat in principio, et nunc, et semper , et in saecula saeculorum
HahahahaHahaaa huyu sasa kazidi..Kwa akili ya kawaida I hope huko alipo anajutia alichofanya..Ingekua watoto wa mamdogo ingefaa achunjwe au apondwe mawe Mimi mwenyewe nilikoseaga kuitikia pale wanapisena Mwili wa yesu instead of Amin nikasema Tunauabudu..Nilikula kibao na sikupata kukomunika.
Paroko maduhu Mungu anakuona
Ni mtata sana eeee!!!!Paroko maduhu Wa kahama jimboni au
(bold) sijakuelewa hapo MondrayMtanzania..Mbabe flani hv wanasemaga alipita Jeshi..wanakwaya wenzangu ndio tusi kwangu
(bold) sijakuelewa hapo Mondray
hahahahahah, hahahahaahahahahhahahaha.Mm ni Mwanakwaya na ni Organist pia so wanakwaya walikua wananutibua kwa hilo tukio.. lilitokea July 2015
They are my Teacher..hahahahahah, hahahahaahahahahhahahaha.
Hapana mie sio mwanakwaya, napenda kuimba lakini siwezi kupata muda wa kuhudhuria mazoezi na shughuli zingine za kwaya.Kama utakua unafuatilia mabo ya kwaya utakua unawajua watu hawa..Jerome Kagoma na Frolian E Nyanza wapo hukohuko mwanza.
They are my Teacher..
Yesu alisujudu. Sasa unashangaa Katekista kusujudu?Wale watakaonielewa kwa hii salamu basi waitikie.
Tumsifu Yesu Kristu.
Sijui nianze kwa kujiuliza swali, hivi siku hizi viongozi wa dini wamechoka kuenzi na kuzingatia maadili ya dini (zilizokuja nchini kutokea nchi za watu wa rangi nyeupe).
Ilikuwa ni maajabu makubwa sana jana kwa waumini walioshiriki ibada ya pili ambayo inaanza saa tatu asubuhi, Parokia ya Nyakato, Parokia Teule Buswelu.
Wakati wa kukomunika huwa wanakwaya wanaimba nyimbo ambazo zinaendana na tendo hilo wakiwa wanazingatia liturujia (katoliki watanielewa).
Waumini tulishikwa na mshangao pale Katekista Galashi alipoanza kuongoza kwaya ya mtakatifu Thomas (yeye huwa anaimbia kwaya ya mtakatifu Anna), wakati huo watu wanakomunika, akazidisha manjonjo ya ajabu ambayo hayako kwenye utaratibu wa ibada za kanisa katoliki! Manjonjo yalizidi hadi akafikia kuangalia altareni, akaanza kusujudu (kama waumini wa dini Fulani hivi wanavyosujudu kwa kugusa paji la uso ardhini wakiwa wanafanya sala zao).
Katekista Galashi alifanya vioja vingi sana, mwishowe nikasikia waumini wananong'ona chini kwa chini wakisema "HUYU ATAKUWA AMERUDIA ILE TABIA YAKE YA ULEVI WA KUPINDUKIA"
Namshukuru Padre kabla ya kuhitimisha misa alisema maneno haya "NINGEKUWA MIMI NDIE PAROKO, LEO HII KATEKISTA WENU WA BUSWELU ANGEKUWA HANA KAZI, LAKINI HATA HIVYO KATEKISTA JITAFAKARI..."
NAHUJA mie nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko.
Alaa kumbe!!!!!Yesu alisujudu. Sasa unashangaa Katekista kusujudu?