Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Milele Amina mtani..
Huyo katekista alipiga balimi nini??
Huyo katekista alipiga balimi nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh! sijui alikunywa kinywaji gani, ila wanaomjua wanasema alikuwa cha pombe akaacha, kwa hiyo siku ndio wakawa wanajiuliza na kushangaa kuwa kumbe karudia tena tabia yake ya ulevi!!!Milele Amina mtani..
Huyo katekista alipiga balimi nini??
Nikujibu kwa dhana ya ualimukuna tofauti gani kati ya paroko na padri
sawa sawaNikujibu kwa dhana ya ualimu
1. Mnaweza mkawa waalimu mna elimu sawa lakini Mmoja wenu akachaguliwa kuwa mwalimu mkuu
2. Kila paroko ni padre lakini sii kila padre ni paroko
3. Paroko ni padre aliyechaguliwa miongoni mwa mapadre kuwa mkuu wa parokia
4. Hivyo paroko ni sawa sawa na mwalimu mkuu ambaye huchaguliwa kuongoza shule na anawezekana akabadilishwa muda wowote na kuwa mwalimu wa kawaida
Wala hujawahi kuwa katoliki, zaidi uko humu JF na ID yako kwa ajili ya kuponda ukatolikiNdio maana mimi niliukimbia kabisa Ukatoliki... Sitaki kabisa hata kuusikia.
Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Naomba huyo katekisti aachwe.,,,! Hiyo kazi ni ngumu mno....!Wale watakaonielewa kwa hii salamu basi waitikie.
Tumsifu Yesu Kristu.
Sijui nianze kwa kujiuliza swali, hivi siku hizi viongozi wa dini wamechoka kuenzi na kuzingatia maadili ya dini (zilizokuja nchini kutokea nchi za watu wa rangi nyeupe).
Ilikuwa ni maajabu makubwa sana jana kwa waumini walioshiriki ibada ya pili ambayo inaanza saa tatu asubuhi, Parokia ya Nyakato, Parokia Teule Buswelu.
Wakati wa kukomunika huwa wanakwaya wanaimba nyimbo ambazo zinaendana na tendo hilo wakiwa wanazingatia liturujia (katoliki watanielewa).
Waumini tulishikwa na mshangao pale Katekista Galashi alipoanza kuongoza kwaya ya mtakatifu Thomas (yeye huwa anaimbia kwaya ya mtakatifu Anna), wakati huo watu wanakomunika, akazidisha manjonjo ya ajabu ambayo hayako kwenye utaratibu wa ibada za kanisa katoliki! Manjonjo yalizidi hadi akafikia kuangalia altareni, akaanza kusujudu (kama waumini wa dini Fulani hivi wanavyosujudu kwa kugusa paji la uso ardhini wakiwa wanafanya sala zao).
Katekista Galashi alifanya vioja vingi sana, mwishowe nikasikia waumini wananong'ona chini kwa chini wakisema "HUYU ATAKUWA AMERUDIA ILE TABIA YAKE YA ULEVI WA KUPINDUKIA"
Namshukuru Padre kabla ya kuhitimisha misa alisema maneno haya "NINGEKUWA MIMI NDIE PAROKO, LEO HII KATEKISTA WENU WA BUSWELU ANGEKUWA HANA KAZI, LAKINI HATA HIVYO KATEKISTA JITAFAKARI..."
NAHUJA mie nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko.
mmh!Naomba huyo katekisti aachwe.,,,! Hiyo kazi ni ngumu mno....!
Dooh salaaalemmh! sijui alikunywa kinywaji gani, ila wanaomjua wanasema alikuwa cha pombe akaacha, kwa hiyo siku ndio wakawa wanajiuliza na kushangaa kuwa kumbe karudia tena tabia yake ya ulevi!!!
hahahahah, ni kaazi kweli kweliDooh salaaale
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]hahahahah, ni kaazi kweli kweli