Adidas wakua watamu enzi ya zile zinye sole ya kikatuni Adidas equipment baada ya hapo niza kawaida tuAdidas na Puma ndo kampuni kongwe zaidi. Sasa hapo unaweza kupima
Mguu kama huu nilikuwa nao kitambo hicho nilinunua karume 7000 mabarza men kibao walikuja niwauzie 😁Adidas wakua watamu enzi ya zile zinye sole ya kikatuni Adidas equipment baada ya hapo niza kawaida tu
View attachment 2164185
View attachment 2164187
View attachment 2164189