Kati ya Adidas, puma, Reebok, Nike, Fila, ni kampuni gani inayotengeneza raba kali naomba kuuliza

Kati ya Adidas, puma, Reebok, Nike, Fila, ni kampuni gani inayotengeneza raba kali naomba kuuliza

Nchi tatu hizo ndio zimeshika soko
German- Adidas na Puma
Italy - Fila
USA- Nike na Reebok
Chaguo lako
Mimi kwa walking ni Adidas
Mazoezi na mbio - Peregrine na Nike
 
Back
Top Bottom