Kati ya Adidas, puma, Reebok, Nike, Fila, ni kampuni gani inayotengeneza raba kali naomba kuuliza

Nike na Adidas nawaelewa zaidi.

Kipindi nipo Secondary karibia kila kitu changu kilikuwa Nike, nakumbuka nipo form two shule walileta mipira kwa ajili ya wanafunzi, nikachukua kiwembe nikaichonga logo ya Nike vizuuuri kwenye ile mipira aisee, haikuchukua wiki ikatoboka yote.

Team Nike hapa...!

 
Nike level nyingine kabisa
 
Bado sijaona wakunitoa kwenye hii Brand..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…