Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania.
Hivi tukiwalinganisha na ZUCHU unadhani yupi ni mkali kwenye vokozi. Hili ni song jipya la AISHA linaitwa Tamutamu, mimi nimeipenda midundo iliyogongwa kwenye hili song ya kimbelembele.