Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Leo nimeshangaa sana mashabiki wa umughaaka wote wamemjeuka
Kweli Moyo ya mtu Ni kichaka inaficha mengi

Wale wote waliokuwa wanampamba na kumuambia wew Ni mpambnaji ,wee Ni mwamba wote kura wamezipeleka kwa Analyse

Kuna kitu umughaaka amewaudhi mashabi zake Hadi wakampaisha analyse

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka hivi huyo jamaa mbona huivi nae? Ni hizi hizi simulizi au mnafahamiana nje ya hapa? 😅😅😅😅
 
Nimekumbuka stori ya pua ya Analyse [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yule mchaga aliyesema "Niambie jembe langu"[emoji1787]
Kitu kinachombeba Analyse,hana muda wa kugombana na haters.

UMUGHAKA nimekumbuka alivyokuwa anaongea na shemeji yake alipopigwa zile hela m9[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema apunguze kidogo hasira.
 
Mimi wote sijawahi kuwasoma hata mmoja naona tu stori zao zinatrend ,siku nitatulia nianze kuzifuatilia kwa umakini.
Zifuatilie hautajuta
 
Aposto anachekesha, hadi nimewasimulia wazee, kila siku wanauliza muendelezo Analyse umepata fans wapya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji1374][emoji1374]

Story ya sasa ya Analyse imeteka sana
 
Wote wapo gud Sana japo kila mtu mzuri kwenye ego yake........
Analyze yupo gud sana kwenye funny story and entertain pia ni noma huu jamaaa.....apostle
Umaghaka yupo vyedi sana kwenye kutoa elimu juu ya uwalisia wa maishaa uyuuu ni nomaaa sanaaaaaa...wizard
 
Nimesoma story za umughaka peke yake ngoja nipite kwa analyse Kisha nirudi kwenye mizani.
 
Nimekumbuka stori ya pua ya Analyse [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yule mchaga aliyesema "Niambie jembe langu"[emoji1787]
Kitu kinachombeba Analyse,hana muda wa kugombana na haters.

UMUGHAKA nimekumbuka alivyokuwa anaongea na shemeji yake alipopigwa zile hela m9[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema apunguze kidogo hasira.
Hapa umeongea ukweli Saint Anne, Umughaka habari za kujibizana na haters mara awafungulie uzi kunampotezea sana
 
Back
Top Bottom