Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Hapa umeongea ukweli Saint Anne, Umughaka habari za kujibizana na haters mara awafungulie uzi kunampotezea sana
Jamaa akipunguza hasira kidogo tu basi ni mwamba sana
Kiukweli Mimi namkubali Umughaka kuliko Analyse

Ila sasa huyu Muraah sijui ndo ukurya upo kwenye damu[emoji16]
Yaani anaamua kufupisha stori na kuimaliza ghafla kisa watu wamemkera!
Uvumilivu hana.
 
Kaka hivi huyo jamaa mbona huivi nae? Ni hizi hizi simulizi au mnafahamiana nje ya hapa? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kaka yey alinifata kwenye Uzi wangu tulipishana mitazamo ya kisiasa Basi jamaa akaniboromosheaa matusi kinoma bila kosa lolote Wala kumtukana

Basi katk Uzi ule tuliendelea kutukanana Hadi siku ikaisha matusi tu jamaa ananirushia akanifata dm na matusi juu juu
Tokeaa hapo mm na yey Ni maadui haswa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Analaiz anaeleweka kindakindaki, umughaka yupo vizuri ila kuna mahali huwa hafafanui ki undani mfano ishu ya kutumia silaha hakuweka wazi alivyofundishwa tulishtukia ashakuwa mtaalam anaitumia, deep pond nae mkali sana yaani wote wanaupiga mwingii....
1. Analyse
2. Umughaka
3. Deep pond
4. PettyMagambo
 
Kaka yey alinifata kwenye Uzi wangu tulipishana mitazamo ya kisiasa Basi jamaa akaniboromosheaa matusi kinoma bila kosa lolote Wala kumtukana

Basi katk Uzi ule tuliendelea kutukanana Hadi siku ikaisha matusi tu jamaa ananirushia akanifata dm na matusi juu juu
Tokeaa hapo mm na yey Ni maadui haswa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Atleast nao naelewa. Nikajua alichelewesha story 😅😅
 
Jamaa akipunguza hasira kidogo tu basi ni mwamba sana
Kiukweli Mimi namkubali Umughaka kuliko Analyse

Ila sasa huyu Muraah sijui ndo ukurya upo kwenye damu[emoji16]
[emoji23][emoji23]

Ila naamini Umughaka atakuja na bonge la comeback, wacha tusubir tuone
 
Atleast nao naelewa. Nikajua alichelewesha story [emoji28][emoji28]
Mkuu mm sijawai lalamika story kucheleweshwa ktk uz wa mtu yoyote Zaid Sana nahimiza imalizwe tu sasa jamaa Ako bana kaniporomoshea matus ndio chanzo Cha ugomvi wetu ukaanza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Ila naamini Umughaka atakuja na bonge la comeback, wacha tusubir tuone
Ni fundi sana
Anajua sana , pengine kuliko Analyze(In my opinion)
Ila sasa ana hasira hatari.. uvumilivu hana.,
Tofauti na Analyse.
 
Unaanzaje kumkasirikia mtu anayebishana kwa kutype, wakati Mimi nina njaa? 😅😅
 
Ni fundi sana
Anajua sana , pengine kuliko Analyze(In my opinion)
Ila sasa ana hasira hatari.. uvumilivu hana.,
Tofauti na Analyse.
Naamini mashabiki zake atatusikia hili na kulifanyia kazi
 
Kama Ile stori ya Ally Mpemba
Juzi kati si akasema aliamua kukatisha kutokana na upumbavu na ujuaji wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na kweli stori ndo ilikuwa kwenye peak,,ghafla jamaa akaiburuza mara ikaisha
Huku tukabaki tumepigwa na butwaa,ilikuwa ghafla mno.

Ajifunze uvumilivu kwa Analyse.
Akiwa mvumilivu,aisee jamaa ni mwamba sana kwa upande wangu.
 
"kwa upumbavu wa wajuaji"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umughaka ni nouma

Mashabiki zake walikosa ladha hivihivi
 
Huwa ananyoka nao jumlajumla 🤣
Tunaoteseka ni sisi wasomaji.
 
Tatizo wanaoanzisha vita humu JF wote wapo nyuma ya keyboard. Utapigana na cm? 😅😅
Jamaa kwa kupambana Nampa asilimia zote🙌
Subiri aje utaona anavyonyoka na haters wanaomkejeli.
 
Back
Top Bottom