Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Jamaa akipunguza hasira kidogo tu basi ni mwamba sanaHapa umeongea ukweli Saint Anne, Umughaka habari za kujibizana na haters mara awafungulie uzi kunampotezea sana
Kaka yey alinifata kwenye Uzi wangu tulipishana mitazamo ya kisiasa Basi jamaa akaniboromosheaa matusi kinoma bila kosa lolote Wala kumtukanaKaka hivi huyo jamaa mbona huivi nae? Ni hizi hizi simulizi au mnafahamiana nje ya hapa? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Atleast nao naelewa. Nikajua alichelewesha story π πKaka yey alinifata kwenye Uzi wangu tulipishana mitazamo ya kisiasa Basi jamaa akaniboromosheaa matusi kinoma bila kosa lolote Wala kumtukana
Basi katk Uzi ule tuliendelea kutukanana Hadi siku ikaisha matusi tu jamaa ananirushia akanifata dm na matusi juu juu
Tokeaa hapo mm na yey Ni maadui haswa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Jamaa akipunguza hasira kidogo tu basi ni mwamba sana
Kiukweli Mimi namkubali Umughaka kuliko Analyse
Ila sasa huyu Muraah sijui ndo ukurya upo kwenye damu[emoji16]
Mkuu mm sijawai lalamika story kucheleweshwa ktk uz wa mtu yoyote Zaid Sana nahimiza imalizwe tu sasa jamaa Ako bana kaniporomoshea matus ndio chanzo Cha ugomvi wetu ukaanzaAtleast nao naelewa. Nikajua alichelewesha story [emoji28][emoji28]
Ni fundi sana[emoji23][emoji23]
Ila naamini Umughaka atakuja na bonge la comeback, wacha tusubir tuone
Sawa tu.Ila ninachoamini Analyse story yake inayotrend now imembeba zaid ktk bandiko hili
Samehe yaishe mkuu π πMkuu mm sijawai lalamika story kucheleweshwa ktk uz wa mtu yoyote Zaid Sana nahimiza imalizwe tu sasa jamaa Ako bana kaniporomoshea matus ndio chanzo Cha ugomvi wetu ukaanza
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unaanzaje kumkasirikia mtu anayebishana kwa kutype, wakati Mimi nina njaa? π πNi fundi sana
Anajua sana , pengine kuliko Analyze(In my opinion)
Ila sasa ana hasira hatari.. uvumilivu hana.,
Tofauti na Analyse.
Ni Murah yuleUnaanzaje kumkasirikia mtu anayebishana kwa kutype, wakati Mimi nina njaa? [emoji28][emoji28]
Upo unambembeleza?Samehe yaishe mkuu [emoji28][emoji28]
Naomba link ya hiyo story..Aliniacha hoi walipoamua kumbeba mpaka kwenye gari, yani kama nilikua namuona japo hata simjui.
Kama Ile stori ya Ally MpembaNaamini mashabiki zake atatusikia hili na kulifanyia kazi
"kwa upumbavu wa wajuaji"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Ile stori ya Ally Mpemba
Juzi kati si akasema aliamua kukatisha kutokana na upumbavu na ujuaji wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli stori ndo ilikuwa kwenye peak,,ghafla jamaa akaiburuza mara ikaisha
Huku tukabaki tumepigwa na butwaa,ilikuwa ghafla mno.
Ajifunze uvumilivu kwa Analyse.
Akiwa mvumilivu,aisee jamaa ni mwamba sana kwa upande wangu.
Tatizo wanaoanzisha vita humu JF wote wapo nyuma ya keyboard. Utapigana na cm? π πNi Murah yule
Vita anayoiweza hamuachii Mungu [emoji1787][emoji1787]
Huwa ananyoka nao jumlajumla π€£"kwa upumbavu wa wajuaji"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umughaka ni nouma
Mashabiki zake walikosa ladha hivihivi
Jamaa kwa kupambana Nampa asilimia zoteπTatizo wanaoanzisha vita humu JF wote wapo nyuma ya keyboard. Utapigana na cm? π π