Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Jamaa kwa kupambana Nampa asilimia zote🙌
Subiri aje utaona anavyonyoka na haters wanaomkejeli.
Sometime unajiumiza tu. Maana ww utakuwa na hasira, ila unayibishana nae, yupo kwa shemeji kashika rimoti ya tv 😅😅
 
Baada ya huu uzi wa ulinganisho imebidi nisome stori ya analyse ( sikuwahi kusoma kabla).
Kila mmoja kati yao ni mzuri kwa namna yake.

Nina vote kwa umughaka. Hasa akiweka stori kwa mfumo wa majibizano ya watu wawili wakizungumza.

Mfano- yeye " mwanangu umughaka niaje?"
Mimi "safi tu kaka vipi hali?"

Sasa akiwa analeta stori ikifika vipande kama hivyo nafurahi sana.

Kwa upande wa analyse anaweza kuweka matukio ya miezi mitatu kwenye aya moja na ukamuelewa vizuri sana.hii haichoshi msomaji na inasisimua sana.
 
Umugaka hajielewi ,muongo halafu hana kumbukumbu
 
Ila JF ni wanafiki 🤣🤣🤣🤣🤣wanamjazaga upepo umugaka kwamba yeye ndio msimuliaji hodari hapa JF ila naona leo wanamkandia
 
Aposto naomba link nyingine tena please.. ile uliyonitumia nimeimaliza...
 
Mi analyse alinichekesha sana kwny ile story,kwamba anajuta kuchelewa kuonana na mzee(rafik wa baba yake),mwishowe kaangukia kwa wazee wa ovyo [emoji3]kina kesho yetu,mzee kidevu na wengine
 
I'm new it's hard to choose lakn the first post I saw ni ya analyse na nimeipenda tayar,yeye ni Bora,looking forward to see what UMUGHAKA has in mind
 
UMUGHAKA ndio mwamba so far niliemsoma hapa jf, kwa kuwa sina muda mwingi hapa sijapata kujua kuhusu Analyse ndio umenipa mwanga nitafute stori zake nisome, nitakuja na mrejesho
 
Umaghaka " apewe maua yake aiseee stori yake ni hatarii sana

Analyse pia stori yake iko vzr but compare to umaghaka aisee umaghaka yuko juu
 
Huwezi kumkuta analyse Anatukanana na watu kwenye story zake jamaa namkubali Sana huwa siwezi kumkosoa mnk Ni mtu POA Ila umughaka Ni mavi yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…