Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wewe sasa hivi umetukimbia umepanda hadhi umekuwa mkali wa story telling πMaster Mzee wa kupambania hanipi dili siku hizi π π
Usijali ngoja tumuulize mzee wa chabo Poor Brain atupe connectionMaster Mzee wa kupambania hanipi dili siku hizi π π
Yaani apostle Analyse umetusikitisha ehh, ngoja nimtume mwizi anaye chipukia National Anthem akushughulikieWewe sasa hivi umetukimbia umepanda hadhi umekuwa mkali wa story telling π
Sawa mkuu, usiwaze π π π
Hapana mkuu, ngoja story iishe nitarudi. Kipindi kile nakosa usingizi, ndio nikafikiria kuleta hii simulizi maana nilikuwa na muda mwingi usikuπ πWewe sasa hivi umetukimbia umepanda hadhi umekuwa mkali wa story telling π
Narudi soon mkuu, kuendeleza jahazi πYaani apostle Analyse umetusikitisha ehh, ngoja nimtume mwizi anaye chipukia National Anthem akushughulikie
I'll upate msamaha Ina bidi ukadeki bahari ya chama Cha wezi indiaNarudi soon mkuu, kuendeleza jahazi π
Mbona adhabu Kali sana ? π π πI'll upate msamaha Ina bidi ukadeki bahari ya chama Cha wezi india
Mzee ulikuwa unategemea kampani yetu ili u-burn midnight oil kuandika story π€£π€£π€£Hapana mkuu, ngoja story iishe nitarudi. Kipindi kile nakosa usingizi, ndio nikafikiria kuleta hii simulizi maana nilikuwa na muda mwingi usikuπ π
π€£π€£π€£π€£Yaani apostle Analyse umetusikitisha ehh, ngoja nimtume mwizi anaye chipukia National Anthem akushughulikie
Au nenda Mexico Sasa hivi, mida ya jioni. Na mchana mchanaππMbona adhabu Kali sana ? π π π
Bro Leo chimbo gani??π€£π€£π€£π€£
Analyse mpe kijana connectionNaomba link mkuu
Naomba nitumie link mkuuJana saa saba usiku nilijikuta nacheka sana. Aposto mtu sana
Leo nataka niingie Ubungo Kijazi nifanye tukio π₯·Bro Leo chimbo gani??