Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Hapana mkuu, ngoja story iishe nitarudi. Kipindi kile nakosa usingizi, ndio nikafikiria kuleta hii simulizi maana nilikuwa na muda mwingi usiku😅😅
Mzee ulikuwa unategemea kampani yetu ili u-burn midnight oil kuandika story 🤣🤣🤣

Usitusahau kutupaisha kwenye stori yako
 
Back
Top Bottom