Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Ahsante mkuu....
 
Analyse pamoja na uvivu wangu kusoma story ila zake zinachekesha na kuvutia kuendelea kusoma japo wengine wapo vizuri.

Halaf baba yake anachekesha sana alivofanya makosa shulen likizo akamtumia laki tatu akamuambia usirudi nyumbani na aolewa unichonganishe na mke wangu utanitambua [emoji23][emoji23][emoji2301] nilicheka halag Analyse ye alikuwa ana hamu arudi home apumzike [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…