Kati ya AS VITA na Florian Ibenge nani kaisha ?

Utopolo semeni simba ni baba lao acheni kutafuta pa kufia, Al ahaly amesema simba ni bora harafu burula wa huko kijijini matoke asema simba kibonde inabidi apimwe kichwa kama Shaffii dauda alivyo sema simba ndo underdogy
 
Unakionaje na kiwango cha Soka cha timu ya Taifa ya Congo DRC
Kina options nyingi sana, wana wachezaji wengi Ubelgiji, Ufaransa na kwingineko Ulaya, achana na hawa wa nyumbani, lakini wameshindwa kutengeneza timu si nyakati hizi za Covd19 tu, tangu nadhani mwaka juzi walipopigwa na Tanzania mechi ya kirafiki
 
Vyote viwili vimeisha,kocha na timu.
Simba wakatili Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…