Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina options nyingi sana, wana wachezaji wengi Ubelgiji, Ufaransa na kwingineko Ulaya, achana na hawa wa nyumbani, lakini wameshindwa kutengeneza timu si nyakati hizi za Covd19 tu, tangu nadhani mwaka juzi walipopigwa na Tanzania mechi ya kirafikiUnakionaje na kiwango cha Soka cha timu ya Taifa ya Congo DRC
Vyote viwili vimeisha,kocha na timu.Uwezo wa timu ya soka ya DRC ya AS VITA bila shaka umefikia kikomo , hawana jipya wala hawana uwezo tena wa kufanya lolote kwenye soka la Vilabu barani Africa , nimeifuatilia timu hiu kwenye game zote za club bingwa africa zinazoendelea , hii timu imekwisha .
Sasa swali langu ni hili , imekwisha AS VITA au kaisha Ibenge ?