Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
- Thread starter
- #21
Gauge unamaanisha nini ? maana wengine hatujasomaMbona hujaitaja gauge?

Ugoro mkuu.Gauge unamaanisha nini ? maana wengine hatujasoma
Visungura vinanyweka sana aisee. Utakuta watu saa 12 asubuhi tayaar wapo kwa mangiUfanuzi mzuri sana , Big up
Ni ngumu kujua kwani kwani watumiaji wake wanatumia vyote kwa panojaMzuka wana jamvi .
Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .
Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili timamu...
Je , kati ya hivyo kipi kina madhara makubwa kwa vijana kama Taifa la Leo na Kesho ?
Emu kuwa na heshima wewepombe ni mahususi kwa wapumbavu
Mzuka wana jamvi .
Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .
Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili timamu...
Je , kati ya hivyo kipi kina madhara makubwa kwa vijana kama Taifa la Leo na Kesho ?
chochote cha kulevya ni kibaya tu na kina athari kubwa mno kwa vijana ambao ndio haswa nguvu kazi ya taifa.🐒Mzuka wana jamvi .
Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .
Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili timamu...
Je , kati ya hivyo kipi kina madhara makubwa kwa vijana kama Taifa la Leo na Kesho ?
Vileo vinatumika na rika zote sio vijana pekeechochote cha kulevya ni kibaya tu na kina athari kubwa mno kwa vijana ambao ndio haswa nguvu kazi ya taifa.🐒
vyote toa.Ila CCM ni hatari kwa taifaMzuka wana jamvi .
Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .
Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili timamu...
Je , kati ya hivyo kipi kina madhara makubwa kwa vijana kama Taifa la Leo na Kesho ?
Watu wa bangi mmekuja na upepo wa kuitetea bangi ila karibu 3/4 ya vijana wavuta bangi wameshaharibila akili , ukifika miremba tafuta wodi ya waliorukwa akili kwa bangi ujioneeBangi haina madhara Ila inategemea kichwa Cha mtu kama inatumika kwa starehe sungura Ile ni pombe Kali haifai bora unywe beer.
YeahKila kitu kwa kiasi
Mkuu yani unafananisha madhara ya bangi (kafyolo) na kisungura ambacho mtu anakunywa anaenda kukojoa.Bangi haina madhara Ila inategemea kichwa Cha mtu kama inatumika kwa starehe sungura Ile ni pombe Kali haifai bora unywe beer.