Kati ya Bangi na Visungura kipi kina madhara makubwa kwa vijana wa sasa?

Kati ya Bangi na Visungura kipi kina madhara makubwa kwa vijana wa sasa?

Mzuka wana jamvi .

Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .

Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili timamu...

Je , kati ya hivyo kipi kina madhara makubwa kwa vijana kama Taifa la Leo na Kesho ?
SAYNGAY
 
Bangi na kisungura sawa na chips yai kiufupi vinatembea kwa pamoja na nadra sana kumkuta mvuta bangi anywi sungura au kumkuta mnywa sungura avuti bangi
Sungura ni pombe Kali ya bei ndogo Ila bange ni habari nyingine inataka uwe smart kichwani unaweza kunywa pombe sio lazima iwe sungura pombe zipo nyingi Lakini usiweze kuvuta bange Lakini ukiweza kuvuta bange pombe aina yoyote unakunywa wanasemaga jiko la shamba halichagui Kuni.
 
Bangi sio mbaya na haina madhara ikitumika kama starehe..
Ila wengi hawawez kuvuta bangi kama starehe matokeo yake ndio haya kwa wadogo/watoto wetu..
Kamilisha mahitaji yako ya muhimu kwanza ndo ukavute bangi,utaipenda meditation yake...
 
Kisungura kinaharibu mwili, bangi inaharibu akili
Bangi inaharibu akili ipi?
Bangi inakwambia usifanye kazi?
Bangi inaiba?
Bangi inabaka?

Niwewe na akili zako ulipanga kumbaka rebeka kwaiyo ulivovuta bangi ikakupa ujasr wa kumbaka rebeka...
Bangi zenyewe za sikuhiz mbegu za kisasa kibao kila chimbo zimejaa cannabino halaf useme zinaharibu akili...
Na uzuri wa bangi kama imekushinda itakuonesha na utaacha huwez kuwa kama hawa madogo vishandu wenye virasta wanaokuja na akili zao mbovu kwenye bangi
 
Oya Jombis hilo jina la "Mabange " linanikera kinyama halafu at the same time linanifurahisha ile mbaya 😂 😆

I find this amusing , I think it's some sort of illness or something
Mzuka mwana jamvi 🤣🤣
Vuta bange, upanue wigo mpana, acha porojo zembe jamvini sah'waaah.
 
Mzuka wana jamvi .

Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) .

Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili timamu...

Je , kati ya hivyo kipi kina madhara makubwa kwa vijana kama Taifa la Leo na Kesho ?
CCM
 
Back
Top Bottom