Kati ya Bear Grylls na Ed Stafford nani Survivalist zaidi?

Kati ya Bear Grylls na Ed Stafford nani Survivalist zaidi?

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi.

Wote wana historia ya kupitia jeshini (wanajeshi wastaafu huku bear grylls akiwa na medani ya heshima ya malkia wa uingereza, na ed stafford akiwa na tuzo ya record ya kutembea mto amazon kwa miguu)

images - 2024-02-21T193014.558.jpeg

Bear Grylls
Huyu anaongea sana, Anakula mizogamende,vyura,wadudu wa kwenye mizoga, anakunywa na kunawia mkojo wake n.k

images - 2024-02-21T192756.296.jpeg

Ed stafford
Huyu mwamba haongei sana, ni vitendo tu. kwanza anatembea uchi, anakula minyoo, nyoka, anakunywa maji yenye vyura mijusi n.k
 
Back
Top Bottom