Kati ya Belta, Premio, Allex na Raum, zote 1.5l, nichukue ipi?

Hivi premio, subaru na mitsubish outlander ipi ni bora na sababu gani
 
Huwezi kuzicompare kabisa
Nashukuru kwa majibu yako. Naelewa kutofautisha kati ya saloon na SUV kiumbo tu ila vipi kuhusu ubora
binafsi napenda type ya SUV ila naweza badilika kama nitaeleweshwa zaidi kwenye hizo saloon

Outlander ndio my first priority ila nikiambiwa vizuri tofauti yake na subaru forester utakuwa umenisaidia sana
 
Kuna uzi wa outlander na forester upo umeelezewa vzuri sana
Mm naikubali sana Forester kwasababu ya design yake nzuri sana hususani SH 5 zile non turbo
Stability
Comfortability ipo kiasi chake
Reliable
Outlander ni nzuri sana chief na ina fuel consumption nzuri compare na forester
Ishu ya spares hizi gari zote zinaaagizwa sana siku hizi kwahyo spare zipo ila hela iwepo nzuri sio ya mawazo mawazo
Kuna zile forester za chini ya 2008 SJ nazo nzuri sanaaa
 
Samahani unaweza nitag kwenye huo uzi
 
Chini ya 2008 ni SJ?
 
Wakuu, kati ya Premio, Belta, Allex ,Runx na Raum zote 1.5l nichukue ipi? Kipato changu cha kawaida, vigezo

1. Ulaji mdogo mafuta
2. Spare bei nafuu
3. Body imara
4. Kuhimili safari ndefu kila siku, km 150 kwa siku.

Ni hayo tu wazoefu wa magari, nipeni msaada.
premio is a classic and comfortable car no matter ni ya mwaka gani u will feel it especially safari za mbali huchoki haraka, kwa short distance au daily commute unaweza chukua anyone kati ya izo kwa sababu unaweza usione utofauti sana premio is a luxury car izo zingine ni family car, kitu kikiwa luxury kuna vitu hua wanaongeza watengenezaji hasa kwenye swala la comfortability
 
Hebu jaribu kuwaza Toyota Axio au Toyota Altis tuone
 
Back
Top Bottom