new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
PremioWakuu, kati ya Premio, Belta, Allex ,Runx na Raum zote 1.5l nichukue ipi? Kipato changu cha kawaida, vigezo
1. Ulaji mdogo mafuta
2. Spare bei nafuu
3. Body imara
4. Kuhimili safari ndefu kila siku, km 150 kwa siku.
Ni hayo tu wazoefu wa magari, nipeni msaada.
Sababu?Premio
Premio ni saloonHivi premio, subaru na mitsubish outlander ipi ni bora na sababu gani
Huwezi kuzicompare kabisaHivi premio, subaru na mitsubish outlander ipi ni bora na sababu gani
Nashukuru kwa majibu yako. Naelewa kutofautisha kati ya saloon na SUV kiumbo tu ila vipi kuhusu uboraHuwezi kuzicompare kabisa
Kuna uzi wa outlander na forester upo umeelezewa vzuri sanaNashukuru kwa majibu yako. Naelewa kutofautisha kati ya saloon na SUV kiumbo tu ila vipi kuhusu ubora
binafsi napenda type ya SUV ila naweza badilika kama nitaeleweshwa zaidi kwenye hizo saloon
Outlander ndio my first priority ila nikiambiwa vizuri tofauti yake na subaru forester utakuwa umenisaidia sana
Samahani unaweza nitag kwenye huo uziKuna uzi wa outlander na forester upo umeelezewa vzuri sana
Mm naikubali sana Forester kwasababu ya design yake nzuri sana hususani SH 5 zile non turbo
Stability
Comfortability ipo kiasi chake
Reliable
Outlander ni nzuri sana chief na ina fuel consumption nzuri compare na forester
Ishu ya spares hizi gari zote zinaaagizwa sana siku hizi kwahyo spare zipo ila hela iwepo nzuri sio ya mawazo mawazo
Kuna zile forester za chini ya 2008 SJ nazo nzuri sanaaa
Mademu wote wa udsm pale hostel za magufuli watakua wake😁😁Chukua premio of your own colour
weka tinted nzuri funga sport rims kali na mziki mzuri wenye adroid tv
Naomba kuwasilisha
Hahahah hapo atapoteaMademu wote wa udsm pale hostel za magufuli watakua wake😁😁
Chini ya 2008 ni SJ?Kuna uzi wa outlander na forester upo umeelezewa vzuri sana
Mm naikubali sana Forester kwasababu ya design yake nzuri sana hususani SH 5 zile non turbo
Stability
Comfortability ipo kiasi chake
Reliable
Outlander ni nzuri sana chief na ina fuel consumption nzuri compare na forester
Ishu ya spares hizi gari zote zinaaagizwa sana siku hizi kwahyo spare zipo ila hela iwepo nzuri sio ya mawazo mawazo
Kuna zile forester za chini ya 2008 SJ nazo nzuri sanaaa
Upo vizuri na magariiUsichukue Belta.
Kwanini? Shape yake mbaya. Ni kama walichukua VITZ wakaongeza matako ya VEROSSA kwa nyuma.
View attachment 2518963
Usichukue Raum.
Kwanini? Ule mlango wake wa kuburuza ukianza kuzingua unazinguaga ule wewee...
View attachment 2518962
Usichukue Allex.
Kwanini? Hivi vigari vilivokatwa matako sijui huwa navionaje.
View attachment 2518961
premio is a classic and comfortable car no matter ni ya mwaka gani u will feel it especially safari za mbali huchoki haraka, kwa short distance au daily commute unaweza chukua anyone kati ya izo kwa sababu unaweza usione utofauti sana premio is a luxury car izo zingine ni family car, kitu kikiwa luxury kuna vitu hua wanaongeza watengenezaji hasa kwenye swala la comfortabilityWakuu, kati ya Premio, Belta, Allex ,Runx na Raum zote 1.5l nichukue ipi? Kipato changu cha kawaida, vigezo
1. Ulaji mdogo mafuta
2. Spare bei nafuu
3. Body imara
4. Kuhimili safari ndefu kila siku, km 150 kwa siku.
Ni hayo tu wazoefu wa magari, nipeni msaada.
Yes ni nzuri haswaaChini ya 2008 ni SJ?
Nilitaka u'correct hapo!Yes ni nzuri haswaa
SAwa chiefNilitaka u'correct hapo!
Hakuna SJ below 2008 mkuu!, wewe unazungumzia SG..
Toyota axio ni gari nzuri piaHebu jaribu kuwaza Toyota Axio au Toyota Altis tuone
KWa kuanzia lifekwa upande upande upi mkuu?