Kati ya bodaboda au Bajaji ya mzigo kipi kinafaida?

Mropoka Hovyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
446
Reaction score
1,253
Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
 
Huwa naona ni biashara kichaa hizo,yani hilo bajaji la mzigo linauzwa 6m,afu kwa siku linakuingizia elfu 15 tu.
 
Huwa naona ni biashara kichaa hizo,yani hilo bajaji la mzigo linauzwa 6m,afu kwa siku linakuingizia elfu 15 tu.
Bajaj imeshafika 12ml na kwa siku ni sh 15 - 20,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…