Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaj imeshafika 12ml na kwa siku ni sh 15 - 20,000Huwa naona ni biashara kichaa hizo,yani hilo bajaji la mzigo linauzwa 6m,afu kwa siku linakuingizia elfu 15 tu.
Biashara kichaa hiyo.Bajaj imeshafika 12ml na kwa siku ni sh 15 - 20,000