The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwetu tena! Loo! Aibu.Kati ya spika na sauti yupi ana tatizo .
Jibu ili nimekupa mfano huko kwenu CCm mlivyo ndani na serikali mnayoshikilia.
1. Tatizo la ccm wakurekebisha ni yeye lkn hana huo utashi, hivyo tatizo ni yeye.Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa.
Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii, unashindwa kuelewa kama tatizo ni yeye au CCM au vyote.
Kwa maoni yako, nini tatizo au ubora kwa taifa letu toka kwa kiongozi huyu na chama chake au hata sisi watanzania tunaogoma kukataa kuburuzwa na kunyanyaswa na badala yake baadhi yetu wakapwakia uchawa na kujikomba na kujipendekeza?