mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Kiki tu....20 K SH milions ya KENYA PER DAY...unafanya mchezo ww?....Endeleeni kulia lia while vijana wenzenu wana make millions per day
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa kaua kisenge[emoji23][emoji23] eti mba mba mba
Dah! Kuwa free mason ni 'rahaa'! Pesa nje nje! 🙁🙂
Shusha data with evidence na sio tantalila.. alafu convert 20 milion kshs into tshs..Endeleeni kulia lia while vijana wenzenu wana make millions per day
Wewe mzee una make bei gani kwa mwez Bob ...!?Endeleeni kulia lia while vijana wenzenu wana make millions per day
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23] eti mba mba mba
Na pia ana nyimbo nyingi zinazobamba Kwa sasa kiasi kwamba nyimbo nyingi zitakua zinatumika kwe miito ya cm,anaweza kuwa na hits 10 zote zinatumika kwenye miito ya cm,tofauti na Ali yy nadhani ana nyimbo km tatu tu zinazo hit,km seduce, aje,labda na cjui chekechaHuyo ni Diamond maana ndiye anaye stahili hicho kiasi....na Alikiba hana uwezo wa kushawishi kulipwa million 20 za kitanzania kupitia miito ya simu huko kenya...................
Unafikiri ni vitu vyote na mikataba yake yote unaijua Kwa kutangaza kwake?ingekuwa mond angeshajitangaza maana anapenda sifa kama ibilisi
Wasubiri nini wewe sasa?Dah! Kuwa free mason ni 'rahaa'! Pesa nje nje! 🙁🙂
WashakaliliUnafikiri ni vitu vyote na mikataba yake yote unaijua Kwa kutangaza kwake?
Kama wangekua wanatoa pesa ungeenda mkuu?Wasubiri nini wewe sasa?
Ni story tu hizi, nani hataki pesa?
Sio ya zimbabwe na haiwezi kua ya zimbabweKama ni ya Zimbabwe sawa
Justin na hao wengine si binadamu wote au justin ni malaika20m Kwa siku? really? 600m kwa mwezi... hayo ni malipo wanayopata kina Justin beiber
Ukwel ni upi hahaNahisi uongo hapa