Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK, Asante kwa jibu zuriJustin na hao wengine si binadamu wote au justin ni malaika
Diamond ana mkataba na Safaricom for almost 3 months now. Kuna wakati Kenya kulisambaa habari kwamba jamaa kanunua mjengo kule na wakadadi huenda angehamia Nairobi. Hicho kipindi ambacho alionekana Nairobi ndo alikwenda kumalizana na Safaricom.Itakuwa ni Kiba mana ingekuwa ni diamond angekwisha tangaza
Watu wengi humu wangekuwa.ni Freemason. Anyway napambana na hali yangu. Sitaki hela za bure!Kama wangekua wanatoa pesa ungeenda mkuu?