Kati ya Diamond na Alikiba mmoja wao analipwa Kenya na mtandao milioni 20 kwa siku 

Kati ya Diamond na Alikiba mmoja wao analipwa Kenya na mtandao milioni 20 kwa siku 

wabongo bana....unajua vtu vingne sio vya kubisha wala kukubali km huna uhakika navyo.....vingine viwapitege tu sio lazima mbishe wala mkubali
 
Itakuwa ni Kiba mana ingekuwa ni diamond angekwisha tangaza
Diamond ana mkataba na Safaricom for almost 3 months now. Kuna wakati Kenya kulisambaa habari kwamba jamaa kanunua mjengo kule na wakadadi huenda angehamia Nairobi. Hicho kipindi ambacho alionekana Nairobi ndo alikwenda kumalizana na Safaricom.

But all in all, hiyo pesa haiwezi kuwa kwa siku moja 1
 
Back
Top Bottom