Kati ya Diamond na Alikiba mmoja wao analipwa Kenya na mtandao milioni 20 kwa siku 

Kati ya Diamond na Alikiba mmoja wao analipwa Kenya na mtandao milioni 20 kwa siku 

Huyo ni Diamond maana ndiye anaye stahili hicho kiasi....na Alikiba hana uwezo wa kushawishi kulipwa million 20 za kitanzania kupitia miito ya simu huko kenya...................
Na pia ana nyimbo nyingi zinazobamba Kwa sasa kiasi kwamba nyimbo nyingi zitakua zinatumika kwe miito ya cm,anaweza kuwa na hits 10 zote zinatumika kwenye miito ya cm,tofauti na Ali yy nadhani ana nyimbo km tatu tu zinazo hit,km seduce, aje,labda na cjui chekecha
 
20m Kwa siku? really? 600m kwa mwezi... hayo ni malipo wanayopata kina Justin beiber
 
Back
Top Bottom