Diamond ana mkataba na Safaricom for almost 3 months now. Kuna wakati Kenya kulisambaa habari kwamba jamaa kanunua mjengo kule na wakadadi huenda angehamia Nairobi. Hicho kipindi ambacho alionekana Nairobi ndo alikwenda kumalizana na Safaricom.
But all in all, hiyo pesa haiwezi kuwa kwa siku moja 1