Kati ya Diamond na Alikiba mmoja wao analipwa Kenya na mtandao milioni 20 kwa siku 

Kati ya Diamond na Alikiba mmoja wao analipwa Kenya na mtandao milioni 20 kwa siku 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Mtangazaji maarufu wa Classic 105 ya nchini Kenya, Maina Kageni amefunguka kwa kusema kuwa kuna msanii mmoja wa Tanzania analipwa na mtandao wa simu milioni 20 kwa siku kutokana na nyimbo zake. Mtangazaji huyo amedai hawezi kumtaja msanii huyo lakini alibainisha ni kati ya Alikiba na Diamond. Alisema hakuna msanii mwingine wa Kenya au Tanzania anayelipwa pesa nyingi kama hizo kwa siku.

Diamond-Alikiba.jpg

Diamond & Ali Kiba

10000.jpg

Maina Kageni
MAINA.jpg
 
eti ule wimbo alioshirikishwa diamond ambao unapigwa sana kwenye events, anaimba " nasema kwanza zima,........kisha nirudishe mba mba mba" unaitwaje? na ni wa nani?
 
Back
Top Bottom