Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

Je unadhani kati ya HUDUMA ZA ELIMU NA AFYA KWA SERIKALI ipi itolewe Bure ?

  • A. ELIMU

  • B. AFYA

  • C. VYOTE VIWE BURE


Results are only viewable after voting.

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure.

Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako.

Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma ya utafiti Wangu.

Kabla ya message hii juu kuna sehemu ya kupiga kura,tafadhali naomba gusa jibu ambalo unadhani ni sahihi kisha bonyeza “CAST VOTE”,kama utahitaji kubadiri bonyeza “CHANGE VOTE”,chagua jibu sahihi then “CAST VOTE” kwa mara tena

Asante
 
Vyote visiwe bure ila pia vyote viwe bure...


Watu wafanye mazoezi na wakizingatia kanuni za afya hawataumwa hence serikali itaweza kwa yale ambayo ni machache...

Elimu ilo online kwenye google serikali igharamie vifaa tu na internet
 
Serikali iongeze ruzuku ktk madawa na vifaa tiba, baadhi ya vipimo iwe bure ili kupunguza gharama za matibabu

na mtu nilikutana nae alikuwa analalamika na ushahidi anao kwamba madawa ktk hosptali za serikali bei ipo juu kuliko maduka binafsi ya madawa, nijamjibu kisiasa kwamba yapo madawa ya aina moja lkn mengine yanatengenezwa china, india na kenya inategemea na ubora japo yanatibu ugonjwa uleule
 
Afya ni Gharama sana, na inajumuisha wote.

Wakati elimu inachukua kundi dogo la watu
Hivi kweli gharama za afya let's say kwa mwaka mzima zinazidi gharama za elimu?
Yaani serikali ikaamua kuto elimu bure mpk vyuoni, na matibabu bure mpk dawa..,

NOTE: ni kweli
Afya inajumuisha wote, lakini kwa uchache wao..
Elimu ni kundi flani, ila kwa wingi wao.
 
Back
Top Bottom