Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure.
Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako.
Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma ya utafiti Wangu.
Kabla ya message hii juu kuna sehemu ya kupiga kura,tafadhali naomba gusa jibu ambalo unadhani ni sahihi kisha bonyeza βCAST VOTEβ,kama utahitaji kubadiri bonyeza βCHANGE VOTEβ,chagua jibu sahihi then βCAST VOTEβ kwa mara tena
Asante