Kati ya ferreri na bugatti ipi ni bora zaidi?

Kati ya ferreri na bugatti ipi ni bora zaidi?

Gari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F
Infact hata Mimi hazijawahi nivutia hizo Gari

Huwa nazikubali sana GMC Yukon , Chevrolet suburban na Cadillac Escalade

Hio Minyama naikubali sana
 
Jamani kuna gari inaitwa Bugatt chiron.mwenye picha Aturushie hilo bei Yake ukitamka hakuna mbongo atakuelewa
 
Bughati ni habari ingine. Na ndio maana ni za wachache wanene. The most highest speed motor on earth! Wacha kabisa! Hizo ni za mabeberu !
 
Back
Top Bottom