Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Basi tuko tofauti sanaHapo gari ya ndoto yangu ni Ferrari 😃
Hizo zingine sijawai vutiwa nazo wala kuzipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tuko tofauti sanaHapo gari ya ndoto yangu ni Ferrari 😃
Hizo zingine sijawai vutiwa nazo wala kuzipenda
Ila kuna muhindi mmoja nilimuona ana ferrari, na ilikuwa inaingia pale ikulu enzi za kikwete.. na kuna mjamaa mmoja wa yanga ana LamboZipo chini sana, hata kwenye bams zinakwama😂
Namaanisha hayo mubati, lambo, siyapendi hata kidogo.. Nissan tumo wotez toyota tumo, lexus tumo aiseeBasi tuko tofauti sana
Rolls royce ni mziki mnene!!Naona mabeberu ya kifaransa na kitaliano yanashindana ongezeeni na beberu la kiingereza (royce rolls) na lingine tena la kitaliano ( lamborghini) na la kimarekani (maserati) ili yachuane vizuri
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Huyo wa Ikulu ni Tanil SomaiyaIla kuna muhindi mmoja nilimuona ana ferrari, na ilikuwa inaingia pale ikulu enzi za kikwete.. na kuna mjamaa mmoja wa yanga ana Lambo
Infact hata Mimi hazijawahi nivutia hizo GariGari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F
Wewe nshakwambia una ugomvi/chuki binafsi na magari ya wazungu.Gari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F
Aaah! Ndio huyo huyo.. ivi sasa hivi yupo wapi ? Ilikuwa nyekundu inang'aaHuyo wa Ikulu ni Tanil Somaiya
Hahahah hayo madude ukikutana nayo yamesimamia na viatu vya maana mbona utapenda. Foggiato 24"s hatariInfact hata Mimi hazijawahi nivutia hizo Gari
Huwa nazikubali sana GMC Yukon , Chevrolet suburban na Cadillac Escalade
Hio Minyama naikubali sana
Tanil yupo. Anacheza chini ya maji, unajua alikuwa mtu wa deals kubwa kuanzia radar, ndege nk. Sasa hivi awamu hii si rafikic sana kwa dealsAaah! Ndio huyo huyo.. ivi sasa hivi yupo wapi ? Ilikuwa nyekundu inang'aa
Huko Tandale siku hizi kuna lami mwanzo mwisho.Barabara zetu za Kwa mtogole-kwa tumbo itakuaje au ndiyo hivyo kumekucha kutoana akili?
Matuta ya barabaran nayo vipiHuko Tandale siku hizi kuna lami mwanzo mwisho.
Gari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F
Na ipi garama zaidi
View attachment 1654815View attachment 1654817
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile appView attachment 1654816
Hizi gari ukimiliki jiandae tra kuhamia nyumbani kwako.ApoView attachment 1654818View attachment 1654819View attachment 1654820
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
Hakuna gari napenda zaidi ya StarletNa ipi garama zaidi
View attachment 1654815View attachment 1654817
Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile appView attachment 1654816
Eleza zaidi@aikamatemu ...gsm nininimkuu zote zimeiva maana zote zina technology ya DSG sequential & Dual clutch automated manual