Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar hyo acha kubisha usichokijua
Hizi roho za paka mno.Mm nina Nissan Pickup engine model TD25 ya 1988 imenunuliwa 1992 imepaki mwaka 1996 ina mileage 153000 ila nmetafuta mafundi wakafanya overhall ikawaka na sasa natumia kwa shughuli zangu za kilimo....fuel consumption ni 20km per litre kwa utafiti nliofanya wiki hii...kwa uelewa wangu gari za diesel ni ghali kununua, spare ni ghali, ila durability ya engine ni kubwa sana afu pia zina nguvu sana maan mm sikuamini kama gari imekaa miaka 23 bila kuendeshwa iLa sahv inatembea vzuri sana bila tatizo.
Bado naendelea kufanya research kujua tofauti ya disesel.n petrol engines hasa kwenye bei, repairs, consumption ya fuel and durability
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wewe kuna Nissan v8 ile mzee, unatia full tank Dar haikufikishi MorogoroMnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Eh gar ipi inafaa kwa kutembelea sie vijanaGari ya petrol inatumia sana mafuta lakini ina speed nzuriii na inafika Top speed kwa harakaa... diesel inatumia mafuta less na inagain speed slow lakini ikigain speed aisee gari ya petrol inasubirii miaka 1000...