Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

Labda ni Mimi sijaelewa, ila trekta, kwenye tank lake la mafuta kuna pipe mbili: moja juu kabisa ya tank ambayo ni return pipe, na moja ipo chini kabisa ambayo inapeleka mafuta kwenye injini.

Na niliaambiwa yakichomwa yanarudi

Wacha stori za mtaan mambo mengine tumia akili ya kuzaliwa...result ya mafuta kuchomwa ni moshi ule sasa unataka peleka moshi kwenye tank??
 
Sifikiri kama jamaa anajua anachoongea. 4500CC lita moja kwa kilomita 18!!!

Kwanza anatakiwa ajie kuwa hybrid haitumii ile engine yenye cylinders kusukuma gari. Ni motors tu zinazosukumwa na umeme. Kwaio huwezi kusema kuwa eti ina 4500cc na ni 1 ltr for 18km. Maana hybrid ikifanya kazi hizo CC hazina faida yoyote.

Ni very wrong kusema eti Tesla ni 2.0L. Maana itabidi tukuulize Litre of what if its not using petrol nor diesel nor air? Na ndio hivo hivo kusema hybrid car ina CC 4500, cc izo for what if what is moving the car has nothing to do with air and fuel?

Nadhani unachanganya vitu viwili hapa...kuna tofautu kati ya hybrid car na electric car...tesla ni electric car..gari ili liilwe hybrid maana yake lina mifumo miwili ya kulioa nguvu. Ambayo ni engine pamoja na motor ya umeme.

Kwenye speed chini ya 60km..inatumia umeme. Ukiexceed 60km engine inatake over kusukuma gari. Wakati engine inatake over, pia inazalisha umeme wa kucharge battery yake.

Hybrid cars hazina port ya kuchargia battery kama ilivyo kwa tesla.
 
Nimekuelewa mpaka hapo.
swali.
Ukitembea umbali mrefu au kukawa na jam ya masaa ya kutosha kusababisa gari isiende zaidi ya speed 60,betry si itaisha chaji?
 
Hapana...battery hawezi kuisha charge kwa sababu ya foleni. Maana engine ikiwa silence inauwezo wa kuzalisha umeme unaocharge battery ya kuendesha motor. Na kuna level ikifikia battery ikiwa low, inauwezo wa kuswitch itumie mfumo wa engine. Engine inauwezo wa kujiwasha au kujizima kutokana na level ya battery iliyopo

Uzuri wa hizi hybrid cars.....huwa zina mfumo wa cylinder deactivation. Huu ni mfumo ambao engine inaacha matumizi ya baadhibya piston na kubaki ikitumia piston chache tu zinazokuwa zina pelekewa mfuta. Mfano..engine yenye 8 cylinder. Inauwezo wa kudeactivate cylinder nne mpaka sita zisipewe mafuta kama gari iko silence au kwenye mwendo mdogo. Na kuzifungua zote nane endapo utakanyaga mafuta kutaka speed kubwa au torque.

Kwa iyo ni sahihi kabisa gari ya 4.5 cc hybrid ikatembea mpaka km 20 kwa liter. Hii itategemea na mwendo na level cha charge na idadi ya cylinder utakazofungua.

Engine ya V8 inapokuwa silence kwente folen pale mwenge inatumia mafuta kidogo kuliko rav4 ....maana cylinder nne au zaidi zinakuwa deactivated. Hata ikiwa inatembea mwendo mdogo..bado haifungui zote unless zididhe 80km/h
 
Ninakubaliana na wewe, maana nimeendesha trekta, ukianza namba moja ni ngurumo kubwa ila mwendo ni kama unatambaa, ukienda mbili inaamka kidogo, 3 inaanza kuwa nyepesi, nne inachanganya vizuri zaidi.

Diesel engines ni nzito

Kwa hiyo ukagundua nn hapo😁 nyie watu bana 😁😷😷
 
Boss huyu jamaa atakuingiza mkenge. HYBRID ni tech ya siku nyingi tu. Harrier zipo Hybrid,Toyota Prius ndio ilianza. Gari nyingi Sana zina Hybrid option hadi Range Rover wametoa Hybrid.

Kama shida yako ni Hybrid wala huna haja ya hilo Crown, hata Harrier Hybrid zipo kibao. Nikufahamishe tu ukiwa unasafiri mkoa litaanza kutumia petrol kwasababu mwendo wako utakuwa above 60kph na hio electric cell need to be charge na petrol engine

Jua battery zinaisha chaji kwa hiyo usitegemee kama utakuwa below 60 basi utakula battery tu muda wote ..hybrid nyingi battery zake kama prius ni kilowatt kama 2 au 3 zikidid tano sasa kumbuka battery inacheza from 30% to 80 something kwa hiyo piga hesabu ya hizo percent compare na battery size unagundua huwez kwenda hata kilometa ngap kwa kutumia chaj tu maana battery ikishuka below 30 engine itawaka ...
 
Sifikiri kama jamaa anajua anachoongea. 4500CC lita moja kwa kilomita 18!!!

Kwanza anatakiwa ajie kuwa hybrid haitumii ile engine yenye cylinders kusukuma gari. Ni motors tu zinazosukumwa na umeme. Kwaio huwezi kusema kuwa eti ina 4500cc na ni 1 ltr for 18km. Maana hybrid ikifanya kazi hizo CC hazina faida yoyote.

Ni very wrong kusema eti Tesla ni 2.0L. Maana itabidi tukuulize Litre of what if its not using petrol nor diesel nor air? Na ndio hivo hivo kusema hybrid car ina CC 4500, cc izo for what if what is moving the car has nothing to do with air and fuel?

Nadhan kabla ya kupost unatakiwa uwe na elimu ya unachochangia

Gari ya hybrid kuna saa inatumia motor tu kuna saa inatumia engine ya mafuta tu na kuna saa zinatumika zote

Eg ukawa una overtake uko heavy foot gari liki sense unahitaj power nyingi basi ule mfumo directly utaruhusu umeme from battery uende kwa motor kisha kuna kipande ambacho kinaunganisha mizunguko ya motor na engine kabla ya matairi utapokea sasa nguvu ya motor plus engine ...
 
Point of correction...
CVT... continuous variable transmission.....haina gear zilizopangika 1,2,3,4 e.t.c

Cvt huwa inatumia belt ambayo huwa na uwezo wa kutanuka na kusinyaa upande wa input na output...ndiyo maana ukiendesha gari lenye cvt huwezi kusikia likibadilisha gear kama Ordinary Automati gear box
Driving experience ya CVT huwa very smooth..

Nenda you tube uone cvt inavyofanya kazi
View attachment 1084129View attachment 1084130
Technology imekuwa sana japo huu mfumo umeanza kwenye scooter kitambo sana ...nashangaa hio belt ikoje had kusukuma gari ya tani hata mbil ...japo kibongo sijajua matengenezo ya hio ger box
 
Diesel kwa kweli inasumbua maana haina performance yani Diesel ukiwa unataka ku overtake inabidi ugain speed kwanza ila ikishavuka 70km/h ukikanyaga mafuta mzigo unaitika vizuri sana...
ni kununua sabufa ya elf 60 afu unataka iimbe kama ya laki na nusu range rover ya 2013 diesel 4.4L unajua perfomance yake?😁 200kph in less than 23 sec

What about cayman 😁 chek horsepower ya gari yako sasa unakuta una 5L kwenye body nzito kama prado afu unataka i perfom vizuri
 
Diesel kwa kweli inasumbua maana haina performance yani Diesel ukiwa unataka ku overtake inabidi ugain speed kwanza ila ikishavuka 70km/h ukikanyaga mafuta mzigo unaitika vizuri sana...
Mzee unaongelea diesel engines za mwaka 47? Hizi za kisasa zenye 0-60 kwa 7.4 seconds, acceleration ni kugusa tu. Tena hii ni kwa SUVs.
 
Nadhani unachanganya vitu viwili hapa...kuna tofautu kati ya hybrid car na electric car...tesla ni electric car..gari ili liilwe hybrid maana yake lina mifumo miwili ya kulioa nguvu. Ambayo ni engine pamoja na motor ya umeme.

Kwenye speed chini ya 60km..inatumia umeme. Ukiexceed 60km engine inatake over kusukuma gari. Wakati engine inatake over, pia inazalisha umeme wa kucharge battery yake.

Hybrid cars hazina port ya kuchargia battery kama ilivyo kwa tesla.
Najua hilo, ila hapo nimezungumzia kwa ujumla kusema kuwa Hybrid car inatumia 1 litre kwa 18 km. Sio fair comparison kabisa na kudai gari ya 4500cc inafanya ivo. Hapo inabidi ufanye calculation ya Combustion engine inavokunywa mafuta as Combustion engine, usichanganye na electric motor yake kwa sababu electric motor haipimwi kwa CC.

Ndio maana sikubali kuwa sasa ivi kuna gari 4500cc inatumia 1 litre to 18km
 
Nadhan kabla ya kupost unatakiwa uwe na elimu ya unachochangia

Gari ya hybrid kuna saa inatumia motor tu kuna saa inatumia engine ya mafuta tu na kuna saa zinatumika zote

Eg ukawa una overtake uko heavy foot gari liki sense unahitaj power nyingi basi ule mfumo directly utaruhusu umeme from battery uende kwa motor kisha kuna kipande ambacho kinaunganisha mizunguko ya motor na engine kabla ya matairi utapokea sasa nguvu ya motor plus engine ...
Naelewa vyema gari ya hybrid inavofanya kazi.

Labda nikuulize kitu kimoja, unapokuwa below 60 ambapo electric motor inafanya kazi, unatumia lita ngapi kwa kilomita?
 
Mm nina Nissan Pickup engine model TD25 ya 1988 imenunuliwa 1992 imepaki mwaka 1996 ina mileage 153000 ila nmetafuta mafundi wakafanya overhall ikawaka na sasa natumia kwa shughuli zangu za kilimo....fuel consumption ni 20km per litre kwa utafiti nliofanya wiki hii...kwa uelewa wangu gari za diesel ni ghali kununua, spare ni ghali, ila durability ya engine ni kubwa sana afu pia zina nguvu sana maan mm sikuamini kama gari imekaa miaka 23 bila kuendeshwa iLa sahv inatembea vzuri sana bila tatizo.
Bado naendelea kufanya research kujua tofauti ya disesel.n petrol engines hasa kwenye bei, repairs, consumption ya fuel and durability

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uelewa na nissan engines td25 aje na ujuzi zaidi niweze kujua mambo mengi kuhusu gari langu

Mlikua ma don sana enzi hizo mkuu,gari ya mwaka 1988 mkainunua 1992 yaani ilikua ina umri wa miaka 4 tu.Si mchezo
 
Back
Top Bottom