Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

Mkuu gari yenye CVT unywaji wake wa mafuta ni kidogo sana tofauti ma gear box za kawaida,kwa sababu engine haipati kazi kubwa kama hizo zisizo na cvt
Duh unanipeleka mbio. Ngoja nikasome kuhusu CVT.
 
Petrol engine inaanza kufanyakazi speed ikivuka 60kph. Kwahio foleni za mjini unatumia umeme tu.
Ikiwa full electric inabidi uwe na charging port Tz utaipata wapi? Ila kwa hizi zenye petrol na electric petrol engine ikijiwasha nzio inacharge hio electric motor
Mkuu hata ukiwa speed 100
 
Mnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Mkuu hapa kamba hii!! Cc4500 kwa kalita kamoja ikatembee km 18 mpaka 19, hii engine naitaka mie niweke kwenye nissan patrol.
 
Labda ni Mimi sijaelewa, ila trekta, kwenye tank lake la mafuta kuna pipe mbili: moja juu kabisa ya tank ambayo ni return pipe, na moja ipo chini kabisa ambayo inapeleka mafuta kwenye injini.

Na niliaambiwa yakichomwa yanarudi
Return hata za petrol zinazo
 
Mkuu unaijua vizuri gari inaitwa crown majesta? ina cc 4300 V8 INA gear 8, inatembea kilomita 19 kwa lita CVT

Mkuu usije kunifanya jumatatu niingie bfoward niiagizie hii ndinga wakati sio,naona bei yake kwa kuagizia ni around 15m,na mzigo umekaa bye balaa
 
Mkuu usije kunifanya jumatatu niingie bfoward niiagizie hii ndinga wakati sio,naona bei yake kwa kuagizia ni around 15m,na mzigo umekaa bye balaa
Mkuu hutojutia mzigo umetulia sana kwa kila idara na bei yake ni murua kabisa
 
Mkuu hutojutia mzigo umetulia sana kwa kila idara na bei yake ni murua kabisa

Show yake si ya kitoto,kuna mmasai mmoja huku mnadani Dakawa Morogoro analo la rangi ya zambarau,tena hata leo alikuja nalo,basi nilijua linabugia kinoma sema kwa sababu yeye ni mfanyabiashara wa ng'ombe ndio maana analimudu,kumbe sio hivyo
 
Mkuu huo mzigo ni wa adabu,yaani ni zaidi ya vitz kwenye wese na heshima yake iko juu mno
 
Mkuu gari yenye CVT unywaji wake wa mafuta ni kidogo sana tofauti ma gear box za kawaida,kwa sababu engine haipati kazi kubwa kama hizo zisizo na cvt
Mku hiyo fuel consumption ni ya majesta ambayo pamoja na kuwa na CVT lakini pia ina hybrid,kama hiyo fuel consumption ingekuwa ni kwa natural aspiration bila hybrid basi kungekuwa hakuna haja ya kuhangaika na turbo. Magari mengi sana yana CVT ila huwa wanatumia majina tofauti kutokana na mtengenezaji wa CVT.
Nakupa mifano michache hapa
Volkswagen yeye anaiita multitronic
Mercedes---Autotronic
Nissan/Renault--Xtronic etc etc.
 
Mkuu usije kunifanya jumatatu niingie bfoward niiagizie hii ndinga wakati sio,naona bei yake kwa kuagizia ni around 15m,na mzigo umekaa bye balaa
Boss huyu jamaa atakuingiza mkenge. HYBRID ni tech ya siku nyingi tu. Harrier zipo Hybrid,Toyota Prius ndio ilianza. Gari nyingi Sana zina Hybrid option hadi Range Rover wametoa Hybrid.

Kama shida yako ni Hybrid wala huna haja ya hilo Crown, hata Harrier Hybrid zipo kibao. Nikufahamishe tu ukiwa unasafiri mkoa litaanza kutumia petrol kwasababu mwendo wako utakuwa above 60kph na hio electric cell need to be charge na petrol engine
 
Mku hiyo fuel consumption ni ya majesta ambayo pamoja na kuwa na CVT lakini pia ina hybrid,kama hiyo fuel consumption ingekuwa ni kwa natural aspiration bila hybrid basi kungekuwa hakuna haja ya kuhangaika na turbo. Magari mengi sana yana CVT ila huwa wanatumia majina tofauti kutokana na mtengenezaji wa CVT.
Nakupa mifano michache hapa
Volkswagen yeye anaiita multitronic
Mercedes---Autotronic
Nissan/Renault--Xtronic etc etc.
Ha ha ha alipoanza kusema CVT inapunguza fuel consumption nikaona niendelee na mada nyingine. Audi A4 za zamani kibao zina CVT,Mini Cooper kibao zina CVT na zinakula mafuta kama gari ingine yoyote tu
 
Back
Top Bottom