Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

Kati ya Gari ya Diesel na Petrol, ni ipi inatumia Mafuta sana?

Gari gani hilo ndugu? Mbona mm natumia diesel na sijaona hayo?
Labda diesel engine ambayo ni current mkuu ila kama ni zile zilizotoka enzi za mkapa anapokea kijiti zilikuwa zinazingua sana
 
Ambacho hujui ni kwamba...mfumo wa diesel ndo imara na wakudumu zaidi ya mfumo wa petrol.

Diesel ni kwaajili ya heavy duty machines. Na petrol ni kwaajili ya mashine nyepesi.

Mfumo wa diesel sio sumbufu kama petrol na unavumilia matatizo zaidi,

Mfumo wa diesel ni bei kubwa kuliko petrol (gari ya petrol ina bei ndogo lakini gari hiyo hiyo ikiwekwa injine ya diesel inapanda bei!)

Uliza bei ya jenereta la petrol na ufananishe na bei ya jenereta la diesel lenye uwezo huohuo, 'utahisi unaibiwa!
Ni imara ila maintance costs ziko juu compared to petrol! Labda kama unazungumzia current diesel engines ambazo ziko refined.
 
Gari ya petrol inatumia sana mafuta lakini ina speed nzuriii na inafika Top speed kwa harakaa... diesel inatumia mafuta less na inagain speed slow lakini ikigain speed aisee gari ya petrol inasubirii miaka 1000...
Sio kweli skuiz gari zina turbo hatari sana umeme kibao gari inatembea vibayaaaaaa
 
Acha fiksi mkuu,gari ipi ya petrol ya cc 4500 haibugii mafuta?
Maana yake hata zile za hi-tec za hybrid sio za cc hizo
Mkuu unaijua vizuri gari inaitwa crown majesta? ina cc 4300 V8 INA gear 8, inatembea kilomita 19 kwa lita CVT
 
Mmmmmhhhhhhh hii chai ungeipoza kidogo tunaungua wenzio.
Inaonyesha ni jinsi gani watu wengi hamuyajui magari, wengi wenu si wapenzi wa magari na ni wavivu sana, sasa basi hebu ingia google uitafute crown majesta pa kuanzia tu
 
Hiyo ni Crown majesta cc4300 V8
Nimeandika huko juu..
Hybrid ina electric motor na petrol engine hio cc4300. Kwenye speed below 60kph inatumia electric motor kwahio mafuta hayatumiki hata chembe ndio maana ukichukua combined consumption unapata 18km/l. Lakini majesta cc4300 bila electric motor unapata 6-8km/l.
 
Sasa ikitumia umeme tu mafuta yanatumikaje mkuu?
Petrol engine inaanza kufanyakazi speed ikivuka 60kph. Kwahio foleni za mjini unatumia umeme tu.
Ikiwa full electric inabidi uwe na charging port Tz utaipata wapi? Ila kwa hizi zenye petrol na electric petrol engine ikijiwasha nzio inacharge hio electric motor
 
Nimeandika huko juu..
Hybrid ina electric motor na petrol engine hio cc4300. Kwenye speed below 60kph inatumia electric motor kwahio mafuta hayatumiki hata chembe ndio maana ukichukua combined consumption unapata 18km/l. Lakini majesta cc4300 bila electric motor unapata 6-8km/l.
Mkuu gari yenye CVT unywaji wake wa mafuta ni kidogo sana tofauti ma gear box za kawaida,kwa sababu engine haipati kazi kubwa kama hizo zisizo na cvt
 
Back
Top Bottom