Mm nina Nissan Pickup engine model TD25 ya 1988 imenunuliwa 1992 imepaki mwaka 1996 ina mileage 153000 ila nmetafuta mafundi wakafanya overhall ikawaka na sasa natumia kwa shughuli zangu za kilimo....fuel consumption ni 20km per litre kwa utafiti nliofanya wiki hii...kwa uelewa wangu gari za diesel ni ghali kununua, spare ni ghali, ila durability ya engine ni kubwa sana afu pia zina nguvu sana maan mm sikuamini kama gari imekaa miaka 23 bila kuendeshwa iLa sahv inatembea vzuri sana bila tatizo.
Bado naendelea kufanya research kujua tofauti ya disesel.n petrol engines hasa kwenye bei, repairs, consumption ya fuel and durability
Sent using
Jamii Forums mobile app