Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym
Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee kuwatafuna maana wadada ni maua wapo kwaajiri yetu