ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album tatu ambapo diamond anayo Moja tu.
Sasa jamani hapo Kuna swali la kuuliza nani ni mkubwa kuliko mwenzie
Sasa jamani hapo Kuna swali la kuuliza nani ni mkubwa kuliko mwenzie