ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huyo harmonize c katoka Kwa diamond au , inakuwaje mtoto amzidi baba tenaKupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album tatu ambapo diamond anayo Moja tu.
Sasa jamani hapo Kuna swali la kuuliza nani ni mkubwa kuliko mwenzie
Japo simkubali sana Diamond lakini kumfananisha na Harmonize ni matusi kwa ChibuHarmonize Ni Cha mtoto Sana kwa Diamond.
Diamond kashaimba nyimbo nyingi Sana hata nyingine hutokaa uzisikie.
Harmonize level Yake Ni Rayvanny.
Unaqualify kuwa muumini wa ZumaridiKupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album tatu ambapo diamond anayo Moja tu.
Sasa jamani hapo Kuna swali la kuuliza nani ni mkubwa kuliko mwenzie
🤣🤣🤣Thread nyingine inafaa zibakie facebook tu uko
Wewe mwamba hii ni thread yako ya ngapi unaleta kuhusu Harmonize na Diamond au wewe ndio Harmonize
DaslamSamahani mkuu, hao wanao jadiliwa humu wanatokea nchi gani...🤔
sikumbuki kutoa nyimbo mi natoaga hitsKupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album tatu ambapo diamond anayo Moja tu.
Sasa jamani hapo Kuna swali la kuuliza nani ni mkubwa kuliko mwenzie
🤣🤣🤣🤣🤣Thread nyingine inafaa zibakie facebook tu uko