Kati ya hawa Washambuliaji Wawili wa NBC Premier League Lusajo na Mayele nani ni Mshamba Juha na nani ni Mstaarabu Mwerevu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima?

Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya Turkey na leo nakunywa zangu Chai Casablanca Morocco huku wengine ndiyo wakiyamaliza Majaruba ya Mpunga na Mashamba ya Sukari Turiani Mkoani Morogoro ili waanze Kuitafuta Msamvu na waiwahi Mvua ambayo tayari imeanza Kutishia uwepo wa Mafuriko Klabuni Kwao ambayo imaweza ikaondoka na Boksa zilizochakaa za Kocha Nabi, Winga Ntibazonkiza na Fowadi Mayele bila kusahau Mabegi yao yaliyojaa Vyura tupu tu.
 
Kwenye Kila Uzi Watu Wanajitahidi Wasimzungumzie Fiston Mayele Ila Wapi Ni Kama Maji Hayakwepeki.

Naziona Goli Zaidi Ya 19 Kwa Mayele Msimu Huu.

Huyo Lusajo Hana Safari Ni Kama Baiskeli Ya Barafu Juani.
 
Mayele Lazima Awatie Tena
 
Thamani ya magoli inatokana na nafasi ya timu kwenye msimamo wa ligi ,una magoli kumi na timu inapambana isishuke darajan,hayo magoli Yana thamani gani? Ni sawa una watoto kumi wote mateja jirani yako anaye mmoja ana elimu na kazi nzuri au biashara nzuri.Hapo ni nani ana faida?
 
Kwenye Kila Uzi Watu Wanajitahidi Wasimzungumzie Fiston Mayele Ila Wapi Ni Kama Maji Hayakwepeki.

Naziona Goli Zaidi Ya 19 Kwa Mayele Msimu Huu.

Huyo Lusajo Hana Safari Ni Kama Baiskeli Ya Barafu Juani.
Thamani ya goli za Lusajo iko wapi? Goli bila point kwa timu ina faida gani?
 
Hahaha...mijadala ya hili group huwa inanikumbusha matusi ya rejareja tukiwa kibanda umiza
 
Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima?

Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya Turkey na leo nakunywa zangu Chai Casablanca Morocco huku wengine ndiyo wakiyamaliza Majaruba ya Mpunga na Mashamba ya Sukari Turiani Mkoani Morogoro ili waanze Kuitafuta Msamvu na waiwahi Mvua ambayo tayari imeanza Kutishia uwepo wa Mafuriko Klabuni Kwao ambayo imaweza ikaondoka na Boksa zilizochakaa za Kocha Nabi, Winga Ntibazonkiza na Fowadi Mayele bila kusahau Mabegi yao yaliyojaa Vyura tupu tu.
Hivi utaacha lini bangi?
 
Mayele sio mshamba bali ni staili yake tu na atadumu nae sana
labda aache kufunga
 
Thamani ya magoli inatokana na nafasi ya timu kwenye msimamo wa ligi ,una magoli kumi na timu inapambana isishuke darajan,hayo magoli Yana thamani gani? Ni sawa una watoto kumi wote mateja jirani yako anaye mmoja ana elimu na kazi nzuri au biashara nzuri.Hapo ni nani ana faida?
Lakini mwisho wa siku kiatu ni kwa mwenye magoli mengi hata kama timu yake itashuka daraja
 
Back
Top Bottom