Kati ya hawa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel nani mwenye mvuto katika bongo movie?

Toa wote hapo hakuna mwenye mvuto. Weka uwoya au irene paul
 
Aunt anavutia coz ana rangi ya asili,hlo zeru zeru wema tupa kule

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wema sauti yake nyembamba utadhani hayupo series,heri huyo mwingine
 
Ukweli lazima usemwe...Aunt anajua kubeba uhalisia yaabi hana mapozi kabisa kwenye camera..

Ila Wema naona uzungu mwingi sana na uhalisia haupo.
 
lakini ujasema mvuto upi...muonekano wa maumbile au uigizaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…