Kati ya hawa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel nani mwenye mvuto katika bongo movie?

Kati ya hawa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel nani mwenye mvuto katika bongo movie?

Toa wote hapo hakuna mwenye mvuto. Weka uwoya au irene paul
 
wema sauti yake nyembamba utadhani hayupo series,heri huyo mwingine
 
Ukweli lazima usemwe...Aunt anajua kubeba uhalisia yaabi hana mapozi kabisa kwenye camera..

Ila Wema naona uzungu mwingi sana na uhalisia haupo.
 
lakini ujasema mvuto upi...muonekano wa maumbile au uigizaji?
 
Back
Top Bottom