bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
wote hao ni wauza nonino tu hakuna msanii, wema ana kisauti utafikiri anaumwa tonsils anaogopa akifungua mdomo hewa ikiingia maumivu yatakuja huyo mwingine ndio kabisa swaga za ku act zero... labda kama unataka kuwalinganisha uzuri fine,,, wema sepetu yuko juu



