Kati ya hawa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel nani mwenye mvuto katika bongo movie?

wote hao ni wauza nonino tu hakuna msanii, wema ana kisauti utafikiri anaumwa tonsils anaogopa akifungua mdomo hewa ikiingia maumivu yatakuja huyo mwingine ndio kabisa swaga za ku act zero... labda kama unataka kuwalinganisha uzuri fine,,, wema sepetu yuko juu
 
Kwani ndio kina nani hao!?
Kwanza tupia pichazao

huyu ni anti ezekiel
1382203660062.jpg
1382203704063.jpg
na huyu ni wema
1382203755360.jpg
1382203817267.jpg
mia
 
wote hao ni wauza nonino tu hakuna msanii, wema ana kisauti utafikiri anaumwa tonsils anaogopa akifungua mdomo hewa ikiingia maumivu yatakuja huyo mwingine ndio kabisa swaga za ku act zero... labda kama unataka kuwalinganisha uzuri fine,,, wema sepetu yuko juu

eng'ana neno ake!
 
Bongo movie zote Ni boring, nimezikuta Youtube nikaona ngoja nicheki kazi za nyumbani, mh, dakika nne hazijafika nikahama.
 
Back
Top Bottom