Kati ya hawa wote ni Rais Kaunda tu ambae bado yuko hai

Mbona huyo aliye kushoto kwa Dr.Ken Kaunda,mwenye miwani na tabasamu mwanana,ni kama Tundu Lissu?

Hata hivyo,nichukue fursa hii kumtakia maisha H.E Dr.Kaunda.Huyu alikuwa mmoja wa Marais wacha Mungu na mtu-wa-watu,kama alivyo H.E Alhaji Mwinyi,na si ajabu Mwenyezi Mungu kawatunuku maisha marefu (though si lazima kwamba ukiwa mtu mwema ndo utaishi maisha marefu,na kinyume chake).
Huyo mwenye tabasamu ndiye Agustino Neto,
 
Mkuu umenichekesha sana lakini hata hivyo Lissu ni mfupi kwa huyo
Mbona huyo aliye kushoto kwa Dr.Ken Kaunda,mwenye miwani na tabasamu mwanana,ni kama Tundu Lissu?

Hata hivyo,nichukue fursa hii kumtakia maisha H.E Dr.Kaunda.Huyu alikuwa mmoja wa Marais wacha Mungu na mtu-wa-watu,kama alivyo H.E Alhaji Mwinyi,na si ajabu Mwenyezi Mungu kawatunuku maisha marefu (though si lazima kwamba ukiwa mtu mwema ndo utaishi maisha marefu,na kinyume chake).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vision ya Nyerere ilikuwa kuingunisha Afrika kama muungano wa North America. Aliona umoja ndiyo utakaoleta maendeleo.

Alitumis resources nyingi katika ukombozi wa bars la Afrika. Siasa za ujamaa hazikuleta tija pai vita ya Kagera iliturudisha nyuma sana.

🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Kiukweli sijaona kama Nyerere Afrika,ni vile uzee unakuja kwa kasi na kunyang'anya uongozi kabla hajaweka sawa fikra zake. Eti Mandera ndio nembo ya Afrika? Wizi mtupu. Hakuna kama Nyerere Afrika nzima. Ni vile tu wazungu walikuwa hawamtaki Nyerere,na wamejitahidi kufifisha historia njema yako iliyotukuka. Badala yake wamemkweza Mandela kwa kitendo chake kimoja tu kukubariana nao. Lakini Nyerere kaifanyia makubwa sana Afrika nzima kuliko kiongozi yoyote Afrika

Ni kweli Nyerere kuamua siasa za ujamaa kuliwakera wazungu. Lakini kwanini sisi vijana tusisimame na kupinga kauli ya wazungu?
 
View attachment 1028590

Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda

Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu

Wengine ninaomba msaada.

Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Mbona ka- baba wataifa kanapiga story kama kawaida yake, utani utani hivi!

Daaaa! hii team poa sana walikuwa wanapendana sana, inanikumbusha rafiki zangu niliosoma nao Lugalo miaka ya nyuma, tukichoka tunaenda Beach Hotel kuleee kawe samakisamaki via Gwajima church, tuna gonga samaki sana na Ugali kidogo Manyonyi, Kimaro, Sebogwe, Lubuva, weee!. sijui yako wapi haya majamaa.

Hivi vijamaa vilipendana km sisi. kwa nini siku hizi hawapendani?
 
Kambarage alikua anamtania Bhokasa inaelekea
 
Ni kweli Nyerere kuamua siasa za ujamaa kuliwakera wazungu. Lakini kwanini sisi vijana tusisimame na kupinga kauli ya wazungu?

..mbona wakati wa Mwalimu tulikuwa tukipewa misaada mingi tu toka western countries?

..hivi mnafikiri viwanda alivyojenga Mwalimu Nyerere fedha[misaada na mikopo] alikuwa anatoa wapi?

..Mwalimu alikosana na nchi za magharibi miaka ya 80, lakini huko nyuma alikuwa rafiki yao, ukiondoa mikwaruzano midogo-midogo ktk masuala ya uhuru wa nchi za kusini mwa afrika.
 
Ninakumbuka unga wa bulger kutoka USA, ulikuwa na maziwa na sukari, unga wa Yanga na maharage aina ya pintos

Alikosana na West kwa kufunga a na Eastern Europe na China wakati wa The Cold War.
 
..Tz tulikuwa tukijitambulisha kama Non-Aligned country.

..Kwa hiyo tulikuwa na marafiki toka kila upande, East na West.

..Kulikuwa na mikwaruzano ya hapa na pale kutokana na masuala ya Rhodesia/Zimbabwe, na masuala mengine yaliyohusu harakati za ukombozi kusini mwa Afrika.

..Kwa ujumla Mwalimu alikuwa na ukaribu na viongozi wa nchi za magharibi kama Willy Brandt wa West Germany, Jimmy Carter wa US, Olof Palme wa Sweden, etc

..niliwahi kusikia kuwa Mwalimu alikuwa karibu na Raisi wa World Bank Robert McNamara ambaye alikuja kuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani wakati wa vita vya Vietnam.
 
Ninakumbuka unga wa bulger kutoka USA, ulikuwa na maziwa na sukari, unga wa Yanga na maharage aina ya pintos

Alikosana na West kwa kufunga a na Eastern Europe na China wakati wa The Cold War.
Siasa yetu ya nje ilikuwa ni ya kuto ku fungamana na upande wowote, zamani na waliisoma kabisaa mashuleni, kwenye Nationa exam, Past papers nyingi lipo hilo swali

je siku hizi Siasa yetu ya nje ni ipi? msaada tuta jamani
 
Msingi na msimamo wa rais nyerere wakati ule kuhusu kuunganisha afrika moja ulilenga "kuboresha na kuunganisha jumuiya ndogo ndogo za kikanda(regional integrations) kabla ya kuunda kwa nchi moja ya afrika"

Nyerere alitaka tusirukie moja kwa moja kwa kuanzisha nchi moja ya afrika badala yake tuanze kwa kuunda regional integration kwanza mfano ecowas, EAC, SADC nk.

Msimamo huu ulipingwa sana na Dr Nkrumah mwaka 1963 yeye alitaka twende moja kwa moja kuanzishwa kwa united state of Africa(Taifa moja la africa)

Nkrumah walivutana sana kwa hoja na Nyerere kuhusu misimamo yao hii.
 
Back
Top Bottom