Kati ya hawa wote ni Rais Kaunda tu ambae bado yuko hai

View attachment 1028590

Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda

Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu

Wengine ninaomba msaada.

Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Aisee hawa wahenga enzi zao walikuwa ni moto lakini wengi hapo wamekufa vifo vya kusikitisha sana
 
Awakugundua kuwa vijana waliowaelimisha walienda na kasi ya mabadiliko ya duniani. Wengi walifikiri kupata uhuru kungewapa u rais wa maisha. Hawakujiandaa kwa transition of power.

Nyerere aliondoka kwa heshima tena bila kujilimbikizia mali.
 
Tatizo la Nyerere alituachia kwa makusudi kabisa li katiba libovu linao ipendelea CCM na kututesa hadi leo.
Kaunda KK alishindwa kwenye uchaguzi 1991 na Chiluba wa MMD, lakini aliendesha uchaguzi ambao ni wa aina yake na ndani ya sheria. Matokeo ya uraisi yalikuwa yanatangazwa moja kwa moja toka vituoni kwa hiyo kila mtu alikuwa ana jijumlishia tu na aliposhindwa aliondoka bila kuleta figisu zezote. TANZANIA MPAKA LEO HILO LIMETUSHINDA. Wazambia wengi walifurahi sana lakini sasa wanamkubali kama baba wa taifa lao bila kinyongo. NAMPA SALUTE BABU KAUNDA.
 
Baada ya kutoka madarakani Chiluba alimfunga Kaunda, Nyerere alikwenda kumsalimia gerezani na ali lobby atolewe.
 
View attachment 1028590

Mstari wa nyuma kuanzia kushoto nimemtambua Obote, Nyerere, na Kaunda

Mstari wa mbele kutoka kushoto Bokhasa, Haile Selassie , Kenyatta na Mobutu

Wengine ninaomba msaada.

Ninafahamu hapo yupo Augustino Neto wa Angola,
Enzi hizo viongozi wanatumia hekima, akili, busara na sio mizuka kama siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vision ya Nyerere ilikuwa kuingunisha Afrika kama muungano wa North America. Aliona umoja ndiyo utakaoleta maendeleo.

Alitumis resources nyingi katika ukombozi wa bars la Afrika. Siasa za ujamaa hazikuleta tija pai vita ya Kagera iliturudisha nyuma sana.
Hiyo historia umeipata wapi? Labda kama unachanganya madesa.
 
Back
Top Bottom